Ads Area

Maelekezo



 Maelekezo.

Tafadhali chagua aina ya maombi ya ajira kama ni elimu, mafunzo, afya n.k

  • Kama ni muombaji mpya bofya kiunganishi cha juu kulia "Jisajili" kuanza kuomba
  • Ingiza namba ya NIDA au barua pepe sehemu husika
  • Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho
  • Maombi yasiyokamilika hayatafanyiwa kazi
  • Hakikisha kabla ya kutuma maombi umesoma na kuelewa vizuri tangazo lilotolewa
  • Hakikisha vyeti ulivyo ambatanisha vinasomeka vizuri
  • Kuwasilisha taarifa za kughushi zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako
  • Bofya hapa ili ujisajili kwa ajili ya kutuma maombi

Kwa Msaada

Tafadhali Tutumie Email : ajiratamisemitz@gmail.com

 PITIA PIA FURSA ZA AJIRA HIZI:

TUMA MAOMBI YA NAFASI MBALIMBALI HAPA    TUMA MAOMBI SASA

Top Post Ad

Below Post Ad